Wapi nitapata Oxygen sensor ya Volkswagen Polo 2006

MREJESHO

nashukuru sana wana jukwaa, hatimaye nimepata oxygen sensor kutoka kwa “Jerry spare parts”

Kwa wenye uhitaji wa spare parts hasa magari ya Ulaya wanaeza mcheki uyu mwamba +255 715 666 656

Shukrani

Bei sh ngapi hiyo spea?

-Kaveli-
 
Inaitwa air mass ngoja nikuchekie
 
Jaribu machimbo ya Sweetcorner barabara ya Sinza Kijiwe hadi Magomeni Moroko wanakata sana magari unaweza kupata
 
MREJESHO

nashukuru sana wana jukwaa, hatimaye nimepata oxygen sensor kutoka kwa “Jerry spare parts”

Kwa wenye uhitaji wa spare parts hasa magari ya Ulaya wanaeza mcheki uyu mwamba +255 715 666 656

Shukrani
Inapendeza kwa kupata muongozo...
 
Vipi umekuja kupata hiyo sensor?

Kama hujapata tufanye biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…