Wapi nitapata oats?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,738
Reaction score
60,395
Natafuta oats ila sijui ni kitu gani na inauzwa wapi. Kwa kiswahili nimecheki naambiwa ni shayiri ila nimesoma mahali kwamba ina porridge yake.

Sasa bado sijaipata vizuri, natafuta niende wapi? Soko gani? Na niuliziaje?

Oats meals naitafuta kwa sababu ina highly protein basi na mimi nina shida na protein. Maziwa na mayai ninayo shida yangu sasa ni hiyo oats.

Msaada tafadhali.
 
Nenda supermarkets oats unazipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…