Mkuu hii haipo tena kwa dunia ya leo!!without interest.
Watu, no problem. Milion 10 siyo pesa nyingi sana ila nina shida ya haraka na siko vizuri.njo na hati yako nikupe, you will just sign deeds of transfer if no payment after three months we will poses the land without majadiliano ya ziada
Mkuu nyumba yenye thamani ya Tshs million 100 kwa mkopo milioni 10,naona hapa hakuna uwiano hata kidogo!!njo na hati yako nikupe, you will just sign deeds of transfer if no payment after three months we will poses the land without majadiliano ya ziada
Hakuna kitu ni usanii mtupu,wanasema watakuwa wana 'share' na wewe 'profit and loss','in real life context,this is hidden interest'Nafahamu kuna baadhi ya Moslems hawatozi riba including bank ya Amana inayofanya Moslem Banking!
Mkuu nyumba yenye thamani ya Tshs million 100 kwa mkopo milioni 10,naona hapa hakuna uwiano hata kidogo!!
Big Lady unauzoefu na Micro Finance? Nenda pale Sinza Mapambano jengo la mwanamboka kuna EFL watakupa mara moja,Uwe na mdhani na salary slip na hizo securities zako.Ni PM kwa maelezo zaidi
Kweli kabisa Dada yangu wenye pesa wanatunyanyasa sana sisi masikini!!Umeona eeh! Chezeya wenye pesa weye?
Nyumba ina thamani ya around TZS 300 Milion.
Ni vile tu katika maisha kuna kupanda na kushuka. Nikijua terms zake kwa uwazi naweza kuchukua hata January au February nikamrudishia.
Salaam sana.
Nahitaji mkopo wa haraka wa TZS 10 M nitakaorudisha katika kipindi cha miezi mitatu with or without interest.
Nina securities kama gari na hati ya kiwanja/nyumba. Niko DSM.
Je ni wapi naweza kupata mkopo wa TZS 10 M immediately?
Je vigezo na masharti ni yapi including re-payment terms?
Nitashukuru kwa information za tija nitakazopata.