Nenda kwa wachina chang'ombe
industrial Area Godown namba 3 wanabei nzuri na kazi ya uhakika
watakuja kupima kwanza site ndo wakupe bei. Wapo karibu na kiwanda cha
Plasco.
Mimi walinifanyia kazi bei yao poa kulinganisha na mafundi wa Gerezani
au mitaani maana nilifanya utafiti wa kulinganisha bei kwa kutumia
mafundi wengi tofauti
Wao material wanaingiza shehena kubwa ndo maana bei zao zipo chini
kidogo.