Wapi nitapata mashuka ya kimasai Dar.

Kichumini

Member
Joined
Jun 7, 2016
Posts
90
Reaction score
106
Habari za mwaka mpya wakuu.

Nahitaji shuka la kimasai lenye rangi hiyo hapo chini kwa ajili ya matumizi ya sare ya shule kwa mwanangu. Leo nimezunguka sana Kariakoo bila mafanikio.



Kwa yeyote anayefahamu sehemu nna weza kipata Dar naomba msaada wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…