Wapi nitapata mabelo ya Nguo za mitumba za wanawake?

Wapi nitapata mabelo ya Nguo za mitumba za wanawake?

Mwafricani

Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
31
Reaction score
18
Habari zenu wandugu,

Kwa wenye utaalamu wa biashara ya mitumba nahitaji elimu yenu. Wapi nitapata mabalo ya mitumba 1st grade? Ambapo hakuna kupigwa famba? Au jinsi ya kutambua grade nzuri?

Natanguliza shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom