Kama ulikua unapenda ualimu kwanini ulienda utalii??Habari zenu ndugu,
Mimi ni kijana wa miaka 23, elimu yangu ni degree of Bachelor of science in Ecotourism and Nature Conservation (BSc. ENC). Tafadhali nielewesheni, nitapataje teaching license (kama non teaching professional) kwani sasahivi nafanya kazi ya ualimu katika private school na pia najiendeleza masomo ya jioni katika fani ya postgraduate diploma in education.
Nimekupata ndugu yangu!! Ila jua miaka inasonga mkuu!!! Kila la kheriUpepo: Umri wangu kama ilivyoanishwa hapa juu ni miaka 23. Ndoto yangu ni kusoma professional nyingi kadri nitakavyopata fursa ya kufanya hivyo na baadae ku specialize ktk moja