Wapi nitapata kioo cha sony xperia z2

Nenda samora ukitokea picha ya askari baada ya sapna upande huohuo kabla ya kufika bookshop ulizia vijana wanaokaa kaa pale kwa fundi sele, atakusaidia. Mi kantengezea yangu muda sasa iko ok. Ghali kidogo but reliable
Unapanda kwenye kale kagorofa..
 
Kama bongo bei itakushinda Ni bora ukaagiza tu ..pita ebay bei ina range $22 had 25..bei ni nafuu sana kuliko hapa nyumbani.
 
Kama bongo bei itakushinda Ni bora ukaagiza tu ..pita ebay bei ina range $22 had 25..bei ni nafuu sana kuliko hapa nyumbani.
Ahsante kwa Ushauri.
Nilimpelekea Chimuke kule Samora kanipiga 100K sïmu ipo poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…