Wanabodi,
Nimeangusha simu tajwa hapo juu kioo kimepata ufa ila simu inawaka vizuri tu,
Tatizo ni kwamba touch screen inazingua nashindwa kufanya chochote hata kuswipe screen lock.
Wakati mwingine huwa inajibofya yenyewe so nadhani tatizo lipo kwenye digitizer.
Naomba mnishauri nifanyeje?
Kama kureplace je nitapata wapi hiyo digitizer na gharama inaweza fika Shilingi ngapi?
C.C Chief-Mkwawa , godfreyelectronics Dr.phone na wengineo msaada/ushauri wenu unahitajika
Andaa laki moja
Njoo kariakooo ukishafika piga simu,wewe wa z2,hata wa note 3 km anahitaji sogea kariakoo,0715378899 piga hiyo namba
Inawezekana kaka,wew njooo PHONE CLINIC utapata hiyo huduma,0715378899
Kuzima kwake kulianzaje
Kioo ni Original?Nenda samora ukitokea picha ya askari baada ya sapna upande huohuo kabla ya kufika bookshop ulizia vijana wanaokaa kaa pale kwa fundi sele, atakusaidia. Mi kantengezea yangu muda sasa iko ok. Ghali kidogo but reliable