Wapi nitapata kioo cha Samsung Galaxy s3

ranchoddas

Senior Member
Joined
Mar 27, 2015
Posts
114
Reaction score
56
Jaman mwenye uwezo wa kujua wapi nitapata kioo cha Samsung galaxy s3 original na bei yake anisaidie
 
bei sifahamu ila wewe nenda kariakoo ukazunguke hasa kwa mafundi simu kama uko dar
 
Yap tunaweza jua price ya hicho kioo plus na ufundi coz nna moja kama hio tatizo lake kwa mafundi wa posta wananiambia 230k hapo bado sijaenda kwa sele fundi mkuu mwenyewe , sasa hio 230k sibora ninunue anather gud smart 4ne
Msaada wa k/koo anaeweza nifanyia bei nzuri..
 
Mkuu hata mm kuna sehem nliambiwa 250000-280000 nkaona isiwe shida nkaiweka ndan ila kuna mshkaji wang yupo india kanambia wanauza 50000 ya tz ila hawataki kumpa warrant na simu ninayo bongo so nimehofia kumuagizia ikawa mkenge ila huku bongo aisee bei ziko juu bora ukanunue android mpya kwa hela iyo
 
muagize tu cha msingi ni Model za simu tu
 
kwa hapa himo kilimanjaro tunaweka kwa Tsh 50000 tu. Nairobi bei ni ndogo sana.
 
Mkuu ni kioo sio touch pekee.

Hapa kwa kumshauri bora anunue simu nyingine tu,mi mwenyewe niliipiga shoti kioo,kila nilipoenda nikawa naambiwa 180bila fundi.

Akijipinda aongeze 1 atapata simu nzuri tu kama hiyo.
 
Mafundi wa bongo uwa siwaelewi kabisaaa, replacement za simu wazungu wanauza bei cheee, youtube tutorial kibao, still wana take advantage ya watu kutoelewa hivi vitu, sio fair hata kidogo.
 
noma sana mi yangu S3 min ilizingua kwenye simcard wamekula hela lakini tatizo liko palepale ukiweka simcard inaenda off.! nimeamua kuiweka ndani tu sina jinsi.
 
Mmoja amuuzie mwenzake hapo, yeye simcard kwake nzima na wewe unataka kioo na zote zipo ndani
 
chief mi yangu ni simcard tu inazingua lkn vingine vyote safi sometimes natumia Wi-Fi network nafanya mambo yangu vizuri tu upande wa data.
 
Back
Top Bottom