Wapi nitapata incubator mashine

INSONSILE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
1,930
Reaction score
2,865
Niko mkoani Iringa, naomba kufahamishwa wapi nitapata mashine tajwa hapo juu kwa ajili ya kutotolesha mayai. Ninahitaji automatic, electronic. Nahitaji kitu genuine na cha uhakika.

Mbwembwe sitaki
 
Mcheki jamaa huyu anauza yupo dar:
+255 755 571 604
 
Niko mkoani Iringa, naomba kufahamishwa wapi nitapata mashine tajwa hapo juu kwa ajili ya kutotolesha mayai. Ninahitaji automatic, electronic. Nahitaji kitu genuine na cha uhakika.

Mbwembwe sitaki
Piga 0785670038 anazo kwa bei poa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…