Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,206
- 27,015
- Thread starter
-
- #21
Nashukuru kwa kuni alertZipo za kulipia kwa mwezi, ama unaweza tafuta key za bei rahisi ebay kwa version za zamani kama Cs5 ama Cs6.
Hapa mjini unaweza ukauziwa piracy, software za kuchakachua wanadownload bure na kuuzia watu.
Hahahaha nataka zile gunuine Ila hata za kuiba online sio mbaya it's just a matter of taste and preferenceKama kweli wewe ni mnunuzi basi tumia Adobe creative cloud kununua hizo product na utakuwa unalipia kwa mwezi au mwaka product uitakayo.
Ukishindwa hapo rudi tu kwenye team waibaji tukugawiwe kitambulisho cha waibaji mtandaoni.
Ndo ziko kwenye app ya Adobe creative cloud hapo, hizo jenuiniHahahaha nataka zile gunuine Ila hata za kuiba online sio mbaya it's just a matter of taste and preference
mkuu pia naomba jaribu GetintoPc hiyo website inasoftware nyingi sana na bure wala hazitaki key.....Naam nataka kujua Ni wapi naweza nunua hizi software hapo dar
Adobe illustrator
Adobe Photoshop
ArchCAD Au AUTOCAD
CC@chiefmkwawa
We nenda ukadownload ma malware na ma virus ndo utajua.endelea kupenda vya bure.Shukrani sana boss
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We nenda ukadownload ma malware na ma virus ndo utajua.endelea kupenda vya bure.
Hii site software zake zote zina malware we mdanganye.juzi jamaa yangu alidownload cinema 4d vzr ikarun kesho yake alivowasha pc program files zote zimeliwa. Malware ili corrupt registry.mkuu pia naomba jaribu GetintoPc hiyo website inasoftware nyingi sana na bure wala hazitaki key.....
Habari mkuu. Hauwezi kununua kwa mtu au kampuni yyt ukiwa Dar au Tanzania kwa ujumla. Adobe wana certified dealers ambao wanasimamia biashara zao. Na siku hizi biashara zao ni za kulipia kwa mwezi au monthly. Cha kufanya ni kutafuta nearby dealers ambapo in our case utawapata Kenya. Binafsi nimeshawahi kununua illustrator kupitia dealer yuko Nairobi. Bei ni around 1m kwa subscription ya mwakaNaam nataka kujua Ni wapi naweza nunua hizi software hapo dar
Adobe illustrator
Adobe Photoshop
ArchCAD Au AUTOCAD
CC@chiefmkwawa
Mkuu mimi vitu vyote kwenye PC yangu nimedownload kupitia hii site kuanzia Photo editing, video editing, games na hata microsoft word zote nimetoa huko.....so ninaexperience nakoHii site software zake zote zina malware we mdanganye.juzi jamaa yangu alidownload cinema 4d vzr ikarun kesho yake alivowasha pc program files zote zimeliwa. Malware ili corrupt registry.