Wapi nitapata hii tamthilia ya kifilipino

Wapi nitapata hii tamthilia ya kifilipino

Moyibi

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,054
Reaction score
702
Kwa yeyote ambaye atanisaidiaa kupataa hii tamthiliaa ya kifilipino "the long wait " Naomba tuwasilianeee kwa inbox
 
subiri waje lakini ujue watakuuliza unashilingi ngapi?
 
subiri waje lakini ujue watakuuliza unashilingi ngapi?

Ngojaa nisubiliee... Maanaaa nime miss kuwaonaa wakinaaa na yurii.... Red butterfly ...Mr Argos.... Katrinaaa ....n boris wakiwaa katikaa action.... Kitambo sanaa
 
Ngojaa nisubiliee... Maanaaa nime miss kuwaonaa wakinaaa na yurii.... Red butterfly ...Mr Argos.... Katrinaaa ....n boris wakiwaa katikaa action.... Kitambo sanaa

mkuu umetaja hayo majina nikawakumbuka...kama kuna mtu aliungua uso au alikuwa na uso wa bandia kati ya hao...au siyo hiyo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom