Wapi nitapata Epson L1800 Printer?

Wapi nitapata Epson L1800 Printer?

sandet

Senior Member
Joined
Mar 27, 2010
Posts
119
Reaction score
112
Habari wadau,

Kwa yeyote anayefahamu wapi naweza kununua hii printer, i.e Epson L1800, hapa nchini au nje ya nchi, nimejaribu kucheki amazon ambayo inapatikana muuzajia haitumi Tanzania, Vilevile Power Voltage (100V-120V) ni special kwa Canada na Us. Amazon.com: EPSON L1800 Inkjet ITS PRINTER / A3 + 6-colour ink tank / USA-CANADA Power Voltage - Ink Set Included: Electronics

Nimejaribu Ebaya na AliExpress ila sijaiona.. Ila kuna hawa jamaa wa "dubaishoppers" wanasema wanaship hii Printer Tanzania, Vp wapo genuine?, je kuna mtu ameshawahi nunua kitu huku? https://dubaishoppers.com/88_electr...ies/128_printers/7300_epson-l1800-its-printer

Msaada Tafadhali
 
Ipo morogoro kuna duka la waarabu pale stendi ya katikati ya moro uwe kama uanelekea SUA ni mita 50 toka pale stend
 
Ahsante, unaweza kufahamu wanauza bei gani?
 
Ipo kwenye 1.6 kama sijakosea, ni miezi kama 7 hivi toka nimenunua product za pale nikiwa safarini ndipo nikakutana na EPSON za aina nyingi na kwakuwa miongoni mwa printer hizo ninayo ndipo nikataka kujua rate zake nilikuta zinaanzia 700,000 kwa zile za A4 na 1.6 za A3
 
Broo mbona ziko kibao km uko dar nenda kkoo barabara ya kwenda mnazi mmoja maduka ya kushoto hahasa na ya kulia machache L800 ziko kibao. km uko mwanza mm sasa hivi niko huku nicheki nikupeleke ziko kibao.

Nairobi pia ndo ziko kibao zaidi.
 
broo mbona ziko kibao km uko dar nenda kkoo barabara ya kwenda mnazi mmoja maduka ya kushoto hahasa na ya kulia machache L800 ziko kibao. km uko mwanza mm sa iv niko huku nicheki nikupeleke ziko kibao. nairobi pia ndo ziko kibao zaidi

Siyo L 800, Ni Epson L 1,800 printer ni A3.
epson l1800.png
 
Broo mbona ziko kibao km uko dar nenda kkoo barabara ya kwenda mnazi mmoja maduka ya kushoto hahasa na ya kulia machache L800 ziko kibao. km uko mwanza mm sa iv niko huku nicheki nikupeleke ziko kibao. nairobi pia ndo ziko kibao zaidi

Siyo L 800, Ni Epson L 1,800 printer ni A3.


Naijua sana mkuu na ninaitumia hiyo na epson T50.
 
Kuna Epson 1410 nayo iko poa sana inapiga A3+
 
Epson 1410

Ahsante Jt Jr ila ningependelea kupata hii ya L1800, Coz specifications zake ziko vizuri kuliko hiyo 1410

Nimejaribu kuulizia Morogoro kama alivyoshauri MlendaMboga, ila zipo L800 tu hakuna L1800. Naomba namba za simu za duka linalouza L1800, Mwanza au Dar kama unazo. Nipo Arusha
 
Nisbapata boss. Zipo nyingi sana pale Kariakoo Dar es Salaam! Ni 960,000/= kwa Epson L850 na 780,000/= kwa Epson L805.
Mkuu, umechukua l850?? Na je ufanisi wake wa kazi ukoje? Ina udhaifu wowote unaoweza kumshauri mtu asinunue? Natanguliza shukran kwa mrejesho!!
 
Mkuu, umechukua l850?? Na je ufanisi wake wa kazi ukoje? Ina udhaifu wowote unaoweza kumshauri mtu asinunue? Natanguliza shukran kwa mrejesho!!
Sijaitumia sana, ndo nataka kuanza kuitumia vizuri. Ila Quality ya picha hairidhishi kama inavyosifiwa na wengi. Nimeambiwa L805 Ina afadhali kuliko L850 katika suala la picha.

But all in all, iko vizuri katika documents nyingine kama copying, printing and scanning.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom