Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 6,395
- 6,850
Nenda clinic inaitwa Alpha-nyuma ya kanisa katoliki (Mt. Imaculata) Upanga uliza Dr. William Sianga, siku za jumamosi ndo uhakika zaidi. Mimi nilifanyiwa minor operation maana jino liliota kwa ndani na halikutokeza nje likawa limeota upande na linasukuma mengine maumivu niliyokuwanayapata ni balaa lakini alinifanyia hiyo operation vizuri sana. Na hata baada ya operation sikusikia maumivu mpaka napona.Jamani kwa DSM zaidi ya muhimbili niwa kwingine, nami nina mtoto wangu meno hayapo vizuri.
Naombeni msaada pls.
Bima wanapokea pia.Nenda clinic inaitwa Alpha-nyuma ya kanisa katoliki (Mt. Imaculata) Upanga uliza Dr. William Sianga, siku za jumamosi ndo uhakika zaidi. Mimi nilifanyiwa minor operation maana jino liliota kwa ndani na halikutokeza nje likawa limeota upande na linasukuma mengine maumivu niliyokuwanayapata ni balaa lakini alinifanyia hiyo operation vizuri sana. Na hata baada ya operation sikusikia maumivu mpaka napona.
Bima wanapokea pia.
Haya mkuu, kapate tiba mapema.Asante sn mkuu
kweli muhimu mkuu. hope ni hawa; Alfa Specialised Medical ClinicsHaya mkuu, kapate tiba mapema.
Dah... Umenikumbusha niling'oa jino wakati wa mzee mkapa kwenye hospital moja bagamoyo road...bili ilikuwa elfu 53..mfukoni na 30...palikuwa patamu sana....ikabidi nifanye kazi za usafi pale wafidie Deni lao [emoji12] [emoji12]Ila bei yao imechangamka kung'oa jino moja ni 90,000.
Ni hao hao mkuu, bima ya NHIF ndo mimi nilitumia.kweli muhimu mkuu. hope ni hawa; Alfa Specialised Medical Clinics
Gharama yao sijui mtanzania wa kawaida anaweza kumudu.
Naomba unielekeze namna ya kufika mkuu nikitokea MwengeNenda clinic inaitwa Alpha-nyuma ya kanisa katoliki (Mt. Imaculata) Upanga uliza Dr. William Sianga, siku za jumamosi ndo uhakika zaidi. Mimi nilifanyiwa minor operation maana jino liliota kwa ndani na halikutokeza nje likawa limeota upande na linasukuma mengine maumivu niliyokuwanayapata ni balaa lakini alinifanyia hiyo operation vizuri sana. Na hata baada ya operation sikusikia maumivu mpaka napona.
Naomba unielekeze namna ya kufika mkuu nikitokea Mwenge
Nenda clinic inaitwa Alpha-nyuma ya kanisa katoliki (Mt. Imaculata) Upanga uliza Dr. William Sianga, siku za jumamosi ndo uhakika zaidi. Mimi nilifanyiwa minor operation maana jino liliota kwa ndani na halikutokeza nje likawa limeota upande na linasukuma mengine maumivu niliyokuwanayapata ni balaa lakini alinifanyia hiyo operation vizuri sana. Na hata baada ya operation sikusikia maumivu mpaka napona.