omurwanga JF-Expert Member Joined Dec 9, 2014 Posts 509 Reaction score 186 Sep 19, 2022 #1 Ni wapi nitapata crash course ya kufanya biashara jamani?
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,586 Reaction score 43,641 Sep 19, 2022 #2 omurwanga said: Ni wazi nitapata crash course ya kufanya biashara jamani? Click to expand... Biashara ni imani sio wish. Anza mdogo kwa kile unachopenda...kupitia ups and downs ndio kujifunza biashara sio kukaa darasani. #MaendeleoHayanaChama
omurwanga said: Ni wazi nitapata crash course ya kufanya biashara jamani? Click to expand... Biashara ni imani sio wish. Anza mdogo kwa kile unachopenda...kupitia ups and downs ndio kujifunza biashara sio kukaa darasani. #MaendeleoHayanaChama
omurwanga JF-Expert Member Joined Dec 9, 2014 Posts 509 Reaction score 186 Sep 19, 2022 Thread starter #3 jiwe angavu said: Biashara ni imani sio wish. Anza mdogo kwa kile unachopenda...kupitia ups and downs ndio kujifunza biashara sio kukaa darasani. #MaendeleoHayanaChama Click to expand... Asante
jiwe angavu said: Biashara ni imani sio wish. Anza mdogo kwa kile unachopenda...kupitia ups and downs ndio kujifunza biashara sio kukaa darasani. #MaendeleoHayanaChama Click to expand... Asante
ozone layer JF-Expert Member Joined Oct 27, 2021 Posts 471 Reaction score 1,953 Sep 19, 2022 #4 omurwanga said: Ni wazi nitapata crash course ya kufanya biashara jamani? Click to expand... Tafuta mtu alieafanikiwa anaefanya aina ya biashara unayotaka kufanya, mwambie akupe makosa aliyoyafanya nyuma ili wewe nae usiyafanye, mwambie akupe changamoto alizopitia hadi kusimama, akueleze amefikaje alipo.... Inakuwa very short cut kufikia top achievements.
omurwanga said: Ni wazi nitapata crash course ya kufanya biashara jamani? Click to expand... Tafuta mtu alieafanikiwa anaefanya aina ya biashara unayotaka kufanya, mwambie akupe makosa aliyoyafanya nyuma ili wewe nae usiyafanye, mwambie akupe changamoto alizopitia hadi kusimama, akueleze amefikaje alipo.... Inakuwa very short cut kufikia top achievements.