Wapi nitapata Bata Mzinga?

Ahmad Mussa

Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
46
Reaction score
19
Wakuu nina shida ya Vifaranga, au bata mzinga pia ndege wengine wafugwao
majumbani lakini si Kuku,Kanga na bata wa kawaida. Wapi naweza kuwapata
na bei zao zikoje?
 
Wakuu nina shida ya Vifaranga, au bata mzinga pia ndege wengine wafugwao
majumbani lakini si Kuku,Kanga na bata wa kawaida. Wapi naweza kuwapata
na bei zao zikoje?
Ni DM mkuu, Nikuunganishe na mtu anayefuga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…