Mkuu kwangu mimi ubichi wa asali maana yake ni kwamba ni ile ambayo ni halisi haijachanganywa na kitu chochote, suala la kuwa kwenye chupa ya konyangi hiki ni kifungashio tu haiiondolei ubichi au uhalisia wake. Naomba ufafanue kama suala ni kwamba hutaki kifungashio cha chupa ya konyagi.