Youngstunna
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 286
- 324
bei yako unataka ununue kwa ngapi? nikushauri kulingana na pesa yako
Ww upo wapiHabari wakuu.
Poleni na majukumu, wakuu naomba wenye uzoefu na biashara ya mchele au wanao fahamu mchele bora grade one unapopatikana na makadrio ya haraka haraka ya bei kwa kilo.
Maana nataka nianze biashara ya kutoa mchele mkoani na kuuza Dar kwa bei ya jumla na namna nzuri ya kuupata mchele mzuri na sio chenga chenga.
Ww upo wapi
Magunia 50 maanaake ni tani 5. fanya kila tani moja ni 1.5 M. bado usafili kwa kila tani moja ni 150k. Ushuru ni 30k kwa tani 1.Haya karibu Mbeya upate super mchele.Asante sana mkuu mimi ndo nataka nianze hii biashara kwahyo ni mgeni .nataka nianze na magunia 50 hivi
Magunia 50 maanaake ni tani 5. fanya kila tani moja ni 1.5 M. bado usafili kwa kila tani moja ni 150k. Ushuru ni 30k kwa tani 1.Haya karibu Mbeya upate super mchele.
FollowingMagunia 50 maanaake ni tani 5. fanya kila tani moja ni 1.5 M. bado usafili kwa kila tani moja ni 150k. Ushuru ni 30k kwa tani 1.Haya karibu Mbeya upate super mchele.
Boss NONGWA njoo utupe majibu, afu mbeya sehem gan ulipo wew?Mbeya wilaya gani boss ? Na vipi kuhusu kipindi cha mavuno kwa makadrio mchele huwa ni bei gani ??
Wakati wa mavuno 1000/kg kwa sasa ni 2000/kgBoss NONGWA njoo utupe majibu, afu mbeya sehem gan ulipo wew?