Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
Sabalkheri Vin D,mie Nimepita Tu Huku Kuchungulia Dunia Inavyoenda,nkaona Nikusabahi
uliidondosha amaWakuu,
Naomba kuelekezwa mahali wanafanya repairs za ps4 pads.
Asante sana
uliidondosha ama
tatizo ni nini hasa
nunua mpya tu.
umejaribu ku hard reset? kwa nyuma kuna kitundu unakibonyeza na kalamu au pini. yangu huzingua kuwaka sometime au ku miss behave hard reset inasolve.Machine iliacha kuchaji. Sijawahi idondosha
umejaribu ku hard reset? kwa nyuma kuna kitundu unakibonyeza na kalamu au pini. yangu huzingua kuwaka sometime au ku miss behave hard reset inasolve.
Kuna jamaa naonaga Tangazo lao Wutsupp
Sawa ngoja nitafuteKama hautajali naomba unitumie kwa PM au hapa mkuu. Asante
Sawa ngoja nitafute