Wapi naweza pata Vifaa vya keki kwa bei rahisi.

mum ake

New Member
Joined
Apr 20, 2018
Posts
4
Reaction score
0
Habari wadau....naomba mwenye kujua sehemu ninayoweza kununua vifaa vya keki kwa bei rahisi ya jumla nifanye biashara hiyo.Mwenye kujua msaada anijuze plzz. Vifaa mbalimbali kama vya kuchsnganyia, vya kupambia keki n.k
 
Mi nanunua kariakoo,kuna duka kubwa LA vifaa vyote vya keki tu pembezoni na solo dogo LA kariakoo
 
Nashukuru ubuntuX. Mi nawaza vinapopatikana kwa jumla ili nifanye ujasiriamali huo.
 
Habari wadau....naomba mwenye kujua sehemu ninayoweza kununua vifaa vya keki kwa bei rahisi ya jumla nifanye biashara hiyo.Mwenye kujua msaada anijuze plzz. Vifaa mbalimbali kama vya kuchsnganyia, vya kupambia keki n.k
Karikkkoo pembeni a soko
 
Back
Top Bottom