Peleka Dar es salaam Soko la manzese pale darajani unaingia kushoto kama unatokea upande wa Ubungo . Utaona malori mengi yamepaki na Kuna mashine za kusaga Unga wa Sembe ,
Ukiwa. Tayari uniambie nikupe number ya Dalali mzuri pale manzese nawajua kama watatu Wazuri.
Bei ya Leo 31/05 Mahindi ya Tanga Kwa KG 510 Kwa 500/ naahindi ya Kiteto na Dodoma Tshs 540/ Kwa 530/ Kwa KG Moja hiyo Tshs 10 ni ya Dalali Kwa Kila KG Moja.
Makulu wanaochukuwa Tsh 1500/ Kwa Gunia Moja.