Wapi naweza pata silent Generator

kyakakombo

Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
41
Reaction score
36
wadau nimehamia kwenye kamjengo kangu lakini bado sijapata umeme Naomba kwa anayejua wapi naweza kupata Generator ambalo halina kelele sana ili niweze kupata japo umeme kwa taa tv na friji. Mi nipo Mwanza.
 
Ipo kubwa yenye injini ya Volvo. Bei Mil. 27
 
Samahani kwa kudandia mdau ila na mimi nina tatizo kama lako lakini kelele za Generator nikifikiria nachoka.
 
Kuna anayefahamu generator ya watt 2800 inaweza kuwa shs. ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…