mkuu mi sio mkopeshaji. Kwa benk hapo tembelea benki ya posta, NBC au Twiga ndio wako vizuri. Andaa vielelezo kuhusu kazi yako, malengo juu ya hiyo pesa, mdhamini, na dhamana iwapo utashindwa kulipa.
Tunapatikana Dar es Salaam na Arusha, kwa Dsm tupo Mwenge Itv road, kwa arusha tupo mitaa ya ngulelo karibu na Rians college, fika moja wapo ya ofisi zetu na utapatiwa maelekezo yote pamoja na vigezo, karibu sana!