Jeff JF-Expert Member Sep 26, 2009 1,293 199 Aug 25, 2012 #1 wadau,habarini za wikiend mwenzenu natafuta telescope ya kununua mitaani wapi naweza kuipata? mwenye nayo au anayrfahamu wapi naweza kupata aniPM au anipe namba za simu na bei yake JF daima
wadau,habarini za wikiend mwenzenu natafuta telescope ya kununua mitaani wapi naweza kuipata? mwenye nayo au anayrfahamu wapi naweza kupata aniPM au anipe namba za simu na bei yake JF daima
N Ndele Member Dec 27, 2008 82 7 Aug 26, 2012 #2 nenda sehemu/maduka yanayouza siraha za moto hua wanauza na hizo telescope
Duduwasha JF-Expert Member Nov 3, 2010 5,703 3,653 Aug 26, 2012 #3 Usijeitumia kwa matumizi ya Kigaidi tu... Umenikumbusha nina Binocular yangu sijaitumia kama miaka kumi hivi lol Next year Nitatia Timu Arusha
Usijeitumia kwa matumizi ya Kigaidi tu... Umenikumbusha nina Binocular yangu sijaitumia kama miaka kumi hivi lol Next year Nitatia Timu Arusha