wapi naweza kupata telescope.. naihitaji jamani mwenye nayo au wapi naweza ipata? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wapi naweza kupata telescope.. naihitaji jamani mwenye nayo au wapi naweza ipata?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Jeff, Aug 25, 2012.

 1. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  wadau,habarini za wikiend
  mwenzenu natafuta telescope ya kununua mitaani wapi naweza kuipata? mwenye nayo au anayrfahamu wapi naweza kupata aniPM au anipe namba za simu na bei yake
  JF daima
   
 2. N

  Ndele Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2008
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nenda sehemu/maduka yanayouza siraha za moto hua wanauza na hizo telescope
   
 3. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,144
  Likes Received: 2,178
  Trophy Points: 280
  Usijeitumia kwa matumizi ya Kigaidi tu... Umenikumbusha nina Binocular yangu sijaitumia kama miaka kumi hivi lol Next year Nitatia Timu Arusha
   
Loading...