Habari waungwana,
Naomba msaada wenu, ni wapi naweza kupata simu TECNO N7 kwa Dar es Salaam.
Pia napenda kujua naweza kuipata kwa shilingi ngapi kwa sasa?
Nipo Ifakara, Morogoro.