EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,189
- 20,637
wapi wakuu ntapata simu za nokia za touch screen hapa dar .Maana kila duka kariakoo ni tecno zimetawala moja ya feature inayonivutia kwenye nokia ni quality ya picha.Msaada twafadhali.Pia kingine ninachohitaji ni Binoculars na miniature camera au spy camera.Ahsanteni