Wapi naweza kupata nguo za mtumba kwa Dar?

Wapi naweza kupata nguo za mtumba kwa Dar?

Boutafrica

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2014
Posts
1,258
Reaction score
2,737
Wakubwa anaejua chimbo za kulenga mitumba nguo hasa kadet,viatu nk kwa jumla anisaidie.
 
Ilala wahi asu uhi sana before saa 2 asubuhi uwe umefika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom