hbi JF-Expert Member Joined Feb 6, 2011 Posts 678 Reaction score 298 Nov 1, 2018 #1 Habari wana jamvi, naomba mwenye kufahamu wapi naweza kununua Mtumba grade one wa watoto (Nguo pamoja na Viatu). Nahitaji kununua kwa jumla (belo). Asanteni kwa ushauri mtakaotoa.
Habari wana jamvi, naomba mwenye kufahamu wapi naweza kununua Mtumba grade one wa watoto (Nguo pamoja na Viatu). Nahitaji kununua kwa jumla (belo). Asanteni kwa ushauri mtakaotoa.