Wapi naweza kupata mashine ya kukaanga karanga?

Wapi naweza kupata mashine ya kukaanga karanga?

stacygab

Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
16
Reaction score
4
Habari zenu, naomba msaada kwa anayefahamu ni wapi naweza pata mashine kwa ajili ya kukaanga karanga kwa ajili ya biashara.
 
habari zenu, naomba msaada kwa anayefahamu ni wapi naweza pata mashine kwaajili ya kukaangakaranga kwa ajili ya biashara
Mkuu naomba nikuulize, kwani unataka kukaanga nyingi sana au?, maana kukaanga karanga ni kitu rahisi sana kwa kutumia sufuria na jiko la kawaida, ila kama kusudio lako ni biashara kubwa basi sawa ukipata mashine ya kurahisisha kazi yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunajamaa alihangaika sana 3years akibuni machine ya Karanga baada kuona kutumia sufuria hafikii mahitaji... Baada ya kufanikiwa akaendanayo kwenye maonesho bila kuisajili ameishia kuwambunifu bila trade mark ya machine

Machine yake inakaanga karanga kwa kutumia gas (LPG)
 
Back
Top Bottom