Mpendwa,
siyo uongo. nisaidie pease kama unajua
asante na ubarikiwe.
yaani umekosa veet kila mahali?Mpendwa,
kwa kweli jinsi nilivyochoka kutafuta, nikipata yoyote tu mi niko OKAY,
nashukuru sana mpendwa
blessed
si veet au kuna ingine?Acha uongo wewe binti.!
Mpendwa,
kwa kweli jinsi nilivyochoka kutafuta, nikipata yoyote tu mi niko OKAY,
nashukuru sana mpendwa
blessed
si kuwa nimekosa kila mahali, ila kutokana na shughuli zangu, nimetafuta zaidi maeneo ya mlimani city, mwenge, kijitonyama na makumbumbusha kwa sababu ya ukaribu tu wa kufika maenedo hayo (convenience).
otherwise, asanteni wapendwa, nitapitia huko kariakoo kama mlivyoshauri.
mbarikiwe sana
Glory to God!!
Wax si muchedho kaka jambazi. Ila mi naprefer wax kuliko creams.
Wax si muchedho kaka jambazi. Ila mi naprefer wax kuliko creams. Wax inauma balaa.
Hii kitu ya online naipenda ila sijui jinsi ya kuagiza pia naona ka vitapotea pia.Check aliexpress.com kuna hair remover products za aina kibao, una agiza moja kwa moja mpaka kwenye sanduku lako la posta toka China.
You are not serious.
Hair removal creams?? Mousse? Gels?? Ukose kote huko?
Anza kwa kutafuta Veet Hair Removal Cream. Nenda wanakouza razors na shaving foams.
Weka Picha pleaseWapendwa,
heri ya mwaka mpya!
naomba nisaidieni mwenzenu, nimehangaika sana kutafuta Hair remover, ile dawa ya kuondolea nywele na vinyweleo mwilini, unapaka sehemu unayotaka kuondoa nywele/vinyweleo, unasubiri kama dakika tano hivi, kisha unaosha kwa maji na nywele/vinyweleo vyote vinakuwa vimetoka (nadhani kwa waliokwishaitumia wnaijua)
kwa kweli nimetafuta sana hapa dar kwa muda mrefu bila mafanikio. nimetafuta zaidi maduka yote maeneo ya mlimani city, mwenge, kijitonyama/makumbusho. maduka makubwa makubwa kama game, nakumatt, TSN nk. kote sijafanikiwa kupata. kwa kweli siamini kama hakuna bidhaa kama hii maeneo hayo niliyotaja.
kwa huyo wapendwa, naombeni mnisaidie kwa anayejua wapi ninapoweza kupata.
nimetaja maeneo ya mlimani city, kijitonyama/makumbusha kwa sababu kwangu ni rahisi zaidi kufika. lakini kama kuna mtu anajua maduka yenye uhakika wa kupata mahali pengine, pia nitafurahi kuifuata hukohuko iliko.
asanteni na mbarikiwe sama wapendwa,
Glory to God!!