kajaribu hospitali ya taifa mkuu iliyopo hukoHabari waungwana. Kwa mwenye kufahamu wapi naweza kupata chanjo ya Yellow fever hapa Dar? Shukran
Kwa wale tuliochanja miaka 5 iliyopita, kuna haja ya kuchanja hiyo ya maisha?KAMA UKO DAR
Nenda pale bandari karibu na Azam marine utapata au laa nenda pale mnazi mmoja last year nilikwenda mnazi mmoja hospital hawakuwa nayo walikuwa wakielekeza watu waende hapo karibu na Azam Marine ( sina uhakika kama ndio hivyo panaitwa) lakini ni karibu na wanakopanda hivyo meli kwa ajili ya kwenda Zbar. na charges zake ni 20,000. The good things ile now ni ya life so hutaichanja tena.
All the best na walikuwa wanaangalia kama una safari ya karibuni ndio unapata maana nadhani zilikuwa zimeadimika that time
Kwa wale tuliochanja miaka 5 iliyopita, kuna haja ya kuchanja hiyo ya maisha?
Nasikia na ile kadi yao imebadilika, inawezekana kubadilishiwa tu?
Hospitali ya mnazi mmoja kuna kitengo cha yellow fever
Miaka kumi, imebaki miaka 5Hiyo uliambiwa ni ya miaka mingapi? kama sio ya life ina maana utatakiwa kuchanga tena