Wapi naweza kupata bidha hii kwa wingi?

Wapi naweza kupata bidha hii kwa wingi?

COLINI

Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
12
Reaction score
2
Wakuu, naombeni msaada kwa yeyote anayejua ni wapi na weza kupata bidhaa zifuatazo kwa wingi naomba anielekeze na ninatanguliza shukruni.

1.Pumba za ngano kuanzia tan 30
2.Pumba za mpunga kuanzia tani 30
3.Pili pili manga kuanzia tani 10
 
Kama za ngano aina ya bran ninazo weka bei hadhrani kwa ton
 
Back
Top Bottom