naona unataka jenga nyumba kwa kuanza na paa
anza na C programming, ndio msingi wa lugha karibia zote
ukianza java moja kwa moja aisee kuna 'built in functions' kibao ambazo hujui zinatokea wapi.
jambo la muimu una target gani, kama una soma for leisure aisee unapoteza mda, fata ushauri wa marwa juu apo
izo short kozi hazitasaidia, kuna vitab kibao online, java for dummies.pdf ni kimojawapo
unachoitaji ni mda+juhudi+vitendo vya mara kwa mara