Wapi naweza kujifunza java programming language?

labda kabla hujaanza kusoma java programming language una plan kutengeneza project gani .

Unajua programming ni issue pana sana kwa hiyo usipokuwa makini unaweza kutumia muda na pesa zako kujifunza kitu ambacho utakuja kugundua mbeleni hukuitaji kujifunza kabisa.

Kwa ushauri kama in biginner sikushauri kujifunza java kwanza anza na programming languages ambazo ni nyepesi kama vile python au JavaScript
 
naona unataka jenga nyumba kwa kuanza na paa

anza na C programming, ndio msingi wa lugha karibia zote

ukianza java moja kwa moja aisee kuna 'built in functions' kibao ambazo hujui zinatokea wapi.

jambo la muimu una target gani, kama una soma for leisure aisee unapoteza mda, fata ushauri wa marwa juu apo

izo short kozi hazitasaidia, kuna vitab kibao online, java for dummies.pdf ni kimojawapo

unachoitaji ni mda+juhudi+vitendo vya mara kwa mara
 
Naomba muongozo na hizo pdf nitazipataje?
Nitashukuru sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom