D Dr wa Manesi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 5,744 Reaction score 4,289 Sep 14, 2025 #1 Siwaoni tena ITV πππππ Nisha bila Mizengwe yanakuwa magumu sana aisee!! Wapo wapi hawa kwa Sasa na muda gani?!!!
Siwaoni tena ITV πππππ Nisha bila Mizengwe yanakuwa magumu sana aisee!! Wapo wapi hawa kwa Sasa na muda gani?!!!
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 21,993 Reaction score 50,135 Sep 14, 2025 #2 Kwani wewe hawajaku include. Kwenye msafara wa mheshimiwa kutafuta kura? Mbona mwashambwa anaongozana na VIP Kila aendapo?
Kwani wewe hawajaku include. Kwenye msafara wa mheshimiwa kutafuta kura? Mbona mwashambwa anaongozana na VIP Kila aendapo?
N Nzona JF-Expert Member Joined Oct 18, 2022 Posts 4,077 Reaction score 6,330 Sep 14, 2025 #3 Siku hizi ITV hawapo ndo Huwa wanapatikana huko mkuu
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 16,530 Reaction score 52,990 Sep 14, 2025 #4 Toka hapo bar ushalewa mkuu
D Dr wa Manesi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 5,744 Reaction score 4,289 Sep 15, 2025 Thread starter #5 Red black said: Toka hapo bar ushalewa mkuu Click to expand... Sipo bar mkuu na Wala silewi Mimi. Guess again!
Red black said: Toka hapo bar ushalewa mkuu Click to expand... Sipo bar mkuu na Wala silewi Mimi. Guess again!
D Dr wa Manesi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 5,744 Reaction score 4,289 Sep 15, 2025 Thread starter #6 Jecop said: Siku hizi ITV hawapo ndo Huwa wanapatikana huko mkuu Click to expand... Hawapo mkuu, siwaoni.
Jecop said: Siku hizi ITV hawapo ndo Huwa wanapatikana huko mkuu Click to expand... Hawapo mkuu, siwaoni.
D Dr wa Manesi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 5,744 Reaction score 4,289 Sep 15, 2025 Thread starter #7 Mr Q said: Kwani wewe hawajaku include. Kwenye msafara wa mheshimiwa kutafuta kura? Mbona mwashambwa anaongozana na VIP Kila aendapo? Click to expand... Hapana, mi sikubahatika kupata nafasi hiyo inayootwa na Kila mtanzania.
Mr Q said: Kwani wewe hawajaku include. Kwenye msafara wa mheshimiwa kutafuta kura? Mbona mwashambwa anaongozana na VIP Kila aendapo? Click to expand... Hapana, mi sikubahatika kupata nafasi hiyo inayootwa na Kila mtanzania.