Wapi naweza ku print business cards na t-shits?

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
21,786
Reaction score
35,747
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nna business cards na t-shirts ambazo nimesha design, nnachohitaji ni kuzi print, je ni wapi naweza pata huduma ya kuprint vitu hivyo?? je gharama zake zikoje na kwa piece ngapi?
 
Nichek pm mkuu ndo shughuli zangu hizo
 
Wekeni na bei wakuu, hapa LEO NILIKUWA NAANDAA MATANGAZO, NIMEFUNGUA PRE FORM ONE CENTRE. SASA KUTAKUWA NA SARE YA TSHET. so nataka gharama zenu kwa tshet 1 ya plane. Nitataka kuprintiwa tshet 30+.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nna business cards na t-shirts ambazo nimesha design, nnachohitaji ni kuzi print, je ni wapi naweza pata huduma ya kuprint vitu hivyo?? je gharama zake zikoje na kwa piece ngapi?
Mkuu nicheki na namba hii 0757 006 221
 
Kila T-shirt, zile za manga no 9500 zikiwa printed
 
Back
Top Bottom