CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,929
Zamani facts na arguments vilikuwa ni mapambo hapa jamvini, sikuhizi hisia na kejeli zinajitahidi kupamba jukwaa.....
Siku nikiingia Igunga mtajua tu, hakuna sababu ya kuandikia mate wakati winno upo......
Kaingia choo cha kike.Huyu dogo nae sijui anakubalije kutumika kirahisi hivyo. Kwa umri wake alitakiwa awe fame. Asimamie maadili ya Chama apigie debe chama kujiingiza moja kwa moja kwenye ugomvi na mapacha watatu itamcost. Nakuhakikishia hii inaweza kuwa nafasi yake ya mwisho kupata kama hiyo post maishani mwake
EDSON,
Kwanza pole sana kwa kujitahidi KUTUNGA UONGO WAKO HUMU.... Haya mawasiliano unayoyasema humu SIYAJUI vinginevyo kuna Nape mwingine mahali.... Mimi mjumbe halali wa CC uyasemayo hayajawahi kutokea, labda ile CC yenu mlokaa Morogoro kutathimini mtaendelezaji Ufisadi wenu katika mazingira haya ya kina " nape"..
Lakini hivi umesahau mtu mzima HATISHIWI NYAU? vitisho vya " huna mda utapotea"..." kijana mdogo tu huyo nikikitaka kichwa chake asb kitakuwa hapa".. " hazijui siasa za nchi hii huyo dogo"... HAZIJAANZA JANA, WALIANZA SIKU NYINGI WALIOKUTANGULIA, BADO NIKASIMAMA IMARA LEO NIKO HAPA....USHAURI USIPOTEZE MUDA NA WENZIO KWA VITISHO VYA KITOTO KAMA MNADHANI MNAWEZA...VIDUME KWELI... TUENDELEE NA SAFARI TUONE PUMZI ZA NANI ZITAKWISHA MAPEMA.... CHAMA HICHI KILIJENGWA KATIKA MISINGI HATUWEZI ACHA MISINGI YAKE KWA KUJIDANGANYA CHAMA KITAENDELEA KUWEPO, HUWEZI BOMOA MISINGI YA NYUMBA NA UKATUDANGANYA TUTABAKI SALAMA... MNAOJARIBU KWAKUWA SISI BADO TUNAPENDA KUISHI NDANI YA NYUMBA HII TUWASHUGHULIKIE, VINGINEVYO RUDINI KWENYE MISINGI YA CHAMA....
REJEA...imani za mwanachama wa CCM, ndio misingi yenyewe coz inawezekana kwasababu ya kudandia gari kwa mbele
Duh.. Mkuu unaenda mbali, nadhani this is too personal......halafu kingine huu ni ushauri wa bure kwako rekebisha maswala yako ndoa na mkeo achana yule mama wa singida(mbunge viti maalumu) mjali mkeo kwanza na hili linakutesa sana kwa sasa.......mrudie mkeo halali achana na huyo mama ...
Pole sana Edson, kazi yenu sasa ni kujaribu kuzusha hata ambayo hayaingii akilini, kama nyi wengine ndoa zimewashinda bahati mbaya poleni... Kama mnaweza kuzusha mpaka ya kifamilia, basi sitashangaa kesho mkisema Nape mchina... Maana kama mnaweza kumzushia mtu kutembea hata na mama yake, basi huu ni uzushi wa kutisha...pole sana maana mmetafuta ufisadi wa Nape mpaka miguu imeota vigimbi... Dawa ya uchafu kuoga si kujaribu kuchafua wengine kwa kudhani utakua msafi

Alianza kwa Mkwara. Wapimaji wa mambo wakasema ni Mkwara wa Nanasi ambao Nje ni Miba wakati Ndani ni utamu mtupu.
Baada ya kelele nyingiiii, baadae amejigundua kumbe amezungukwa na kundi la Wanafiki, akavunjika nguvu. Wapi Operesheni Vua gamba? Wapi Mapacha Watatu aliotuambia wamewapa siku tisini na kuwaandikia barua?
Zile kelele zooote ngumbe ni ndege mnana tu! We unacheza na Mkweree wewe! Full Unafiki!!
Rudi ukawaombe radhi akina Mzee Lowasa uliojifanya kula nao sahani moja maana ndo wanaelekea kuziba hilo ombwe la Uongozi lililopo CCM sasa. Sijui utakimbilia wapi?
Chadema ulishawakorofisha, labda ukimbilie kwa Dovutwa Fahmi.
Pole sana.
Alianza kwa Mkwara. Wapimaji wa mambo wakasema ni Mkwara wa Nanasi ambao Nje ni Miba wakati Ndani ni utamu mtupu.
Baada ya kelele nyingiiii, baadae amejigundua kumbe amezungukwa na kundi la Wanafiki, akavunjika nguvu. Wapi Operesheni Vua gamba? Wapi Mapacha Watatu aliotuambia wamewapa siku tisini na kuwaandikia barua?
Zile kelele zooote ngumbe ni ndege mnana tu! We unacheza na Mkweree wewe! Full Unafiki!!
Rudi ukawaombe radhi akina Mzee Lowasa uliojifanya kula nao sahani moja maana ndo wanaelekea kuziba hilo ombwe la Uongozi lililopo CCM sasa. Sijui utakimbilia wapi?
Chadema ulishawakorofisha, labda ukimbilie kwa Dovutwa Fahmi.
Pole sana.
EDSON,
Kwanza pole sana kwa kujitahidi KUTUNGA UONGO WAKO HUMU.... Haya mawasiliano unayoyasema humu SIYAJUI vinginevyo kuna Nape mwingine mahali.... Mimi mjumbe halali wa CC uyasemayo hayajawahi kutokea, labda ile CC yenu mlokaa Morogoro kutathimini mtaendelezaji Ufisadi wenu katika mazingira haya ya kina " nape"..
Lakini hivi umesahau mtu mzima HATISHIWI NYAU? vitisho vya " huna mda utapotea"..." kijana mdogo tu huyo nikikitaka kichwa chake asb kitakuwa hapa".. " hazijui siasa za nchi hii huyo dogo"... HAZIJAANZA JANA, WALIANZA SIKU NYINGI WALIOKUTANGULIA, BADO NIKASIMAMA IMARA LEO NIKO HAPA....USHAURI USIPOTEZE MUDA NA WENZIO KWA VITISHO VYA KITOTO KAMA MNADHANI MNAWEZA...VIDUME KWELI... TUENDELEE NA SAFARI TUONE PUMZI ZA NANI ZITAKWISHA MAPEMA.... CHAMA HICHI KILIJENGWA KATIKA MISINGI HATUWEZI ACHA MISINGI YAKE KWA KUJIDANGANYA CHAMA KITAENDELEA KUWEPO, HUWEZI BOMOA MISINGI YA NYUMBA NA UKATUDANGANYA TUTABAKI SALAMA... MNAOJARIBU KWAKUWA SISI BADO TUNAPENDA KUISHI NDANI YA NYUMBA HII TUWASHUGHULIKIE, VINGINEVYO RUDINI KWENYE MISINGI YA CHAMA....
REJEA...imani za mwanachama wa CCM, ndio misingi yenyewe coz inawezekana kwasababu ya kudandia gari kwa mbele
na Igunga kazuiwa kwenda!!
lunch time.Nnauye mbona umekimbia???
Nadhani inatia aibu kusema jambo ambalo huna hakika nalo....nimejaribu kusoma kejeli hapa nyingi sana lakini nasema mambo yatakapo kuwa kama nilivyosema( na bila shaka mnajua wameshaanza) ....msisite kuja hapa kupongeza pia.......
lunch time.