Nape hawezi kwenda Igunga na akienda ataipunguzia mno kura CCM;Nape is extremely unpopular there na wana Igunga wanamchulia Nape kama kiongozi wa 'gut politics' aliyeanzisha chokochoko kwa RA na maswahiba zake akina Mamvi ingawaje kwa sasa CCM ni kama vile imemuacha Nape bila msaada wowote!Nashukuru kwa kujitokeza watu walianza kuwa na wasiwasi huyu ndugu kapotelea wapi.......hata hivyo nina swali moja, lini utakwenda Igunga maana kwa cheo chako wewe ndiye hasa wa kukiuza chama hasa wakati huu wa uchaguzi, nauliza hivyo kwa sababu nilisikia tetesi kuwa CC imekuzuia wewe na Chiligati kwenda huko ni ya kweli hayo.
Zamani facts na arguments vilikuwa ni mapambo hapa jamvini, sikuhizi hisia na kejeli zinajitahidi kupamba jukwaa.....nasikia Igunga kapigwa stop kwenda na akienda asitaje majina ya miungu watatu . tatizo hakupewa semina elekezi aidha alidoji kipindi
Zamani facts na arguments vilikuwa ni mapambo hapa jamvini, sikuhizi hisia na kejeli zinajitahidi kupamba jukwaa.....
Siku nikiingia Igunga mtajua tu, hakuna sababu ya kuandikia mate wakati winno upo......
Nadhani inatia aibu kusema jambo ambalo huna hakika nalo....nimejaribu kusoma kejeli hapa nyingi sana lakini nasema mambo yatakapo kuwa kama nilivyosema( na bila shaka mnajua wameshaanza) ....msisite kuja hapa kupongeza pia.......
Ushauri wa bure: Sina uhakika kama uliwahi kuuona ushauri niliokupa hapa mara ya mwisho, ila nitakueleza kwa ufupi tu, kwa jinsi maisha yanavyozidi kuwa magumu ccm haitoweza tena kuiteka mioyo ya Watanzania.Zamani facts na arguments vilikuwa ni mapambo hapa jamvini, sikuhizi hisia na kejeli zinajitahidi kupamba jukwaa.....
Siku nikiingia Igunga mtajua tu, hakuna sababu ya kuandikia mate wakati winno upo......
Bora kapotea, maana kuna wakati kila ukifungua blog za Wabongo ulikuwa humkosi. Sasa ameibuka starring mpya, Makamu wa Pili wa Rais, Gharib Balal au sijui nani. Kila kukicha, ni kizee hiki kikipeana mikono, kikifuturisha au kikitoa hotuba aka kutembeza pumba kama hakina akili nzuri.
EDSON,
Kwanza pole sana kwa kujitahidi KUTUNGA UONGO WAKO HUMU.... Haya mawasiliano unayoyasema humu SIYAJUI vinginevyo kuna Nape mwingine mahali.... Mimi mjumbe halali wa CC uyasemayo hayajawahi kutokea, labda ile CC yenu mlokaa Morogoro kutathimini mtaendelezaji Ufisadi wenu katika mazingira haya ya kina " nape"..
Lakini hivi umesahau mtu mzima HATISHIWI NYAU? vitisho vya " huna mda utapotea"..." kijana mdogo tu huyo nikikitaka kichwa chake asb kitakuwa hapa".. " hazijui siasa za nchi hii huyo dogo"... HAZIJAANZA JANA, WALIANZA SIKU NYINGI WALIOKUTANGULIA, BADO NIKASIMAMA IMARA LEO NIKO HAPA....USHAURI USIPOTEZE MUDA NA WENZIO KWA VITISHO VYA KITOTO KAMA MNADHANI MNAWEZA...VIDUME KWELI... TUENDELEE NA SAFARI TUONE PUMZI ZA NANI ZITAKWISHA MAPEMA.... CHAMA HICHI KILIJENGWA KATIKA MISINGI HATUWEZI ACHA MISINGI YAKE KWA KUJIDANGANYA CHAMA KITAENDELEA KUWEPO, HUWEZI BOMOA MISINGI YA NYUMBA NA UKATUDANGANYA TUTABAKI SALAMA... MNAOJARIBU KWAKUWA SISI BADO TUNAPENDA KUISHI NDANI YA NYUMBA HII TUWASHUGHULIKIE, VINGINEVYO RUDINI KWENYE MISINGI YA CHAMA....
REJEA...imani za mwanachama wa CCM, ndio misingi yenyewe coz inawezekana kwasababu ya kudandia gari kwa mbele
kaka edson wajina wangu jamaa umemshika pabaya sana katika uchangiaji wako hali yake ni mbaya unaona anavyojiumauma mwaga data ..............................mpaka kajitokeza umetekenya penyewe kabisaaa,ngoja nikuulize wewe nape....kama kweli wewe ni kiongozi tena katibu mwenezi wa chama kwa nini wamekupikataza kwenda igunga?
sababu ni nini.......ulikuja juu kweli sasa hivi naona umelowanisha?
mle ndani ya kikao siku ile uliona jinsi lowas alivyo na nguvu? .jamaa alikuwa kimya na wengine ndo wanamtetea
<br /><font color="#ff0000">Red: How?<br />
<br />
hutosikia nape tena, two weeks ago walipokwenda dodoma <br />
alichibwa biti ile mbaya, ccm ina wenyewe bwaaaana</font>
EDSON,
Kwanza pole sana kwa kujitahidi KUTUNGA UONGO WAKO HUMU.... Haya mawasiliano unayoyasema humu SIYAJUI vinginevyo kuna Nape mwingine mahali.... Mimi mjumbe halali wa CC uyasemayo hayajawahi kutokea, labda ile CC yenu mlokaa Morogoro kutathimini mtaendelezaji Ufisadi wenu katika mazingira haya ya kina " nape"..
Lakini hivi umesahau mtu mzima HATISHIWI NYAU? vitisho vya " huna mda utapotea"..." kijana mdogo tu huyo nikikitaka kichwa chake asb kitakuwa hapa".. " hazijui siasa za nchi hii huyo dogo"... HAZIJAANZA JANA, WALIANZA SIKU NYINGI WALIOKUTANGULIA, BADO NIKASIMAMA IMARA LEO NIKO HAPA....USHAURI USIPOTEZE MUDA NA WENZIO KWA VITISHO VYA KITOTO KAMA MNADHANI MNAWEZA...VIDUME KWELI... TUENDELEE NA SAFARI TUONE PUMZI ZA NANI ZITAKWISHA MAPEMA.... CHAMA HICHI KILIJENGWA KATIKA MISINGI HATUWEZI ACHA MISINGI YAKE KWA KUJIDANGANYA CHAMA KITAENDELEA KUWEPO, HUWEZI BOMOA MISINGI YA NYUMBA NA UKATUDANGANYA TUTABAKI SALAMA... MNAOJARIBU KWAKUWA SISI BADO TUNAPENDA KUISHI NDANI YA NYUMBA HII TUWASHUGHULIKIE, VINGINEVYO RUDINI KWENYE MISINGI YA CHAMA....
REJEA...imani za mwanachama wa CCM, ndio misingi yenyewe coz inawezekana kwasababu ya kudandia gari kwa mbele
Nadhani inatia aibu kusema jambo ambalo huna hakika nalo....nimejaribu kusoma kejeli hapa nyingi sana lakini nasema mambo yatakapo kuwa kama nilivyosema( na bila shaka mnajua wameshaanza) ....msisite kuja hapa kupongeza pia.......[/QUOTE
Igunga umejiandaandaaje?