Kwasasa mnaweza kujiona washindi sana, ila madhara mtayaona 2020!
Kwa ukaribu alionao nape na comred kinana ni mwendawazimu tu ndio ataamini kinana alifurahia yaliyotokea
Kwa msio mfahamu Nappe itawasumbua sana, Nappe Sio mtu mwoga.... ungekua na kumbukumbu ungerejea wakati JK na Lowassa wameingia madarakani alipambana nao bila kificho!
Nappe alipambana na Lowassa angali waziri mkuu mpaka kufikia kuvuliwa uanachama wa UVCCM!
Nappe angalau ameonesha hana tabia za kichangu kama mlivyo vijana wengi mlioko CCM

Hicho unachokisema ni sahihi kabisa lakini wakishakuwa nje ya mfumo wa chama hawawezi kukifanya hicho tena.Of course, uchaguzi wa 2020 utakuwa "very tricky"