Wapi napata miche bora ya miembe dar au pwani??

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2011
Posts
4,505
Reaction score
6,903
Wadau naombe nahitaji miche ya miembe iliyoboreshwa nahitaji kupanda bagamoyo na mkuranga. nataka kampuni mahususi sio wale wa pembezon mwa barabara wanauza miche isiyo na ubora, asanten
 
BORA UNUNUE MBEGU ZAKE KULIKO HIYO MICHE ITAKUWA VYEMA NENDA BALTON CO. MIKOCHENI INDUSTRY
 
Wadau naombe nahitaji miche ya miembe iliyoboreshwa nahitaji kupanda bagamoyo na mkuranga. nataka kampuni mahususi sio wale wa pembezon mwa barabara wanauza miche isiyo na ubora, asanten
m

mkuu tuongee tukufanyie hiyo kazi sisi huwa tunapanda miti kwa tender maalum hivyo tufanye makubaliano tukuoteshee hiyo miti tunaanzia miti 2000 baadaya ya muda utakuja uchukue ni suala la mwezi mmoja tu!
 
Mnapanda miti ya aina gan??
 
Ungemtafutia zile embe za SUA ndio nzuri. Nenda Morogoro halafu nenda SUA Main Campus, ulizia miche ya maembe (You won't regret)

Sawa mkuu. Shukran kwa ushauri
 
mombo (Tanga ) kuna jamaa anauza miembe ya kisasa kwa 3000 mche mmoja me nlichukua 10 naamini haitaniangusha ina miezi 6 ushaanza kutoa maua
 
Kuna miembe niliiona ina urefu wa futi mbili tu lakini imeanza kuzaa
 
Nenda Sokoine University Morogoro. Hawa jamaa wapo vizuri
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…