ZAMBI YANGU
Senior Member
- Jul 23, 2013
- 163
- 44
Mtajwa hapo juu ni mzaliwa wa tanga eneo la manga wilaya ya handeni. Tulipoteana mara baada ya kumaliza kidato cha nne pale Mombo sekondari mwaka 2006. Namtafuta walau nimpe shukrani zangu hasa baada ya kuitumia nafasi yake kwa mkuu wa shule kunitetea nisifukuzwe shule nikiwa kidato cha tatu. Ni kweli nilimlilia shida baada ya kuwa niligungua adhabu ninaenda kupewa lakini nakumbuka sikuwahi kumwambia asante. Popote ulipo ulipo kwasasa nipo bangwe kigoma nakuomba tuwasiliane PM au yoyote anayejua alipo tafadhari naomba msaada kupitia mtandao huu wa Jf.
wasalaam
GM - ZAMBI YANGU
wasalaam
GM - ZAMBI YANGU