Kama Una Mtaji Mzuri Unaweza Kufungua Kisasa Sheli Maana Ilazo Kuna Ujenzi Mwingi Wa watu Wanao Jiweza. Kama Ndogo Nje Ya Mji Kidogo Inakuwa nzuri Zaidi Kama Mkonze, Mtumba, Udom, Maeneo Ni Mengi Na Kingine Vitu Vya Ujenzi Dodoma Viko Juu Sana So iyo Faida Kwako