hivi wafanyabiashara mnaona ugumu gani kuweka bei hadharani, jiamini, amini na bidhaa yako, najua humu jf ni soko lako pia. watu wanashida na kufanya bizness unayofulsa fanya nao kazi.
hakuna mafanikio ya siku moja tangaza bei ya kawaida kabisa, uwe tayari kwa anayetaka sample umtumie hata nusu lita au robo kwenye basi.
then mfanyabiashara au mteja akiona sample akicompare na bei atakuwa mteja wako tu.