Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,473
- 4,007
ArushaKiwanja kiko wapi
Anasema ni hati ya mauzoKama kiwanja kina hati anaweza kuingia bank .. Lakini pia atatakiwa kuwa na kipato kinachozidi hiyo pesa kwa mwezi na awe na biashara halali yenye vibali
Mkopo atakaopatq ni wa miezi 6 au 12
Kama kiwanja kina hati anaweza kuingia bank .. Lakini pia atatakiwa kuwa na kipato kinachozidi hiyo pesa kwa mwezi na awe na biashara halali yenye vibali
Mkopo atakaopatq ni wa miezi 6 au 12
Ngumu kupataAnasema ni hati ya mauzo
Kina SACCOS siku hizi zinatoaMkuu benki hatopata, benki hawatoi mtaji wa kuanza "initial capital", wanatoa hela kukuza/kuendeleza mtaji "working capital development".
Wataanza kumwambia apeleke mauzo, akaunti inayozunguka n.k
Naonaga Jinsi watu wanavyojiingiza kwenye matatizo kwa kuogopa au kushindwa kufanya maamuziSasa si bora auze kiwanja kama kina dhamani ya hiyo 5m then aingize kwenye biashara kama ana uhakika nayo.!
Naonaga Jinsi watu wanavyojiingiza kwenye matatizo kwa kuogopa au kushindwa kufanya maamuzi
Kama mtu anakowekeza ana uhakika kwanini asiuze Mali yake akawekka huko? Si ndio faida ya kumilki ardhi? Lakini atafhukua mikopo wa 5M ambao kwa miezi 36 atajikuta anatakiwa kurejesha 8M na itamshinda atauza kiwanja kwa shida na aibuNi changamoto kubwa saana kwenye jamii yetu.!
Tuma picha tuoneNauza freezer Lita 100 unamiezi sita 300000,, au kama kunamtu anakopesha ninashida na laki mbili
Maji ya chaiArusha sehemu gani tuongee biashara?