Kwa Internet za bure nyingi utakuwa disappointed na speed kiukweli.Basically Yes but in turn kama ni hotel au lounge nitanunua service au products zao. Au kama kuna WiFi ya kulipia nayo it’s fine
Karibu dukani kwangu makumbusho hapa nina internet ya uhakika.Wakuu Habari,
Nilikuwa nina kazi nataka niifanye na ni endelevu kidogo, sasa ningependa kufahamu ni wapi kwa Dar panakuwa na reliable and stable internet ambayo mtu unaweza ukafanya shughuli za mtandaoni kidogo.
Nilijaribu kuhotspot kwa simu, Gb zikawa zinakatika mpaka nashangaa[emoji16] kama mtu anabugia. Na eneo nililopp hapa hamna fibers bado.
Nilijaribu Grano Coffee and Istanbul Restaurant kwakweli internet zao zilikuwa weak.
SkunkNenda chattle mkuu ambapo trafficking lights zina ongoza punda