Wapi greda la morroco mwenge

dansmith

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
2,305
2,094
Siku moja baada ya Rais kuagiza pesa zilizokuwa zitumike ktk sherehu za uhuru zikafanye kazi ya kupanua Barbara ya morroco Mwenge kesho lilionekana gredal likiwa llimeanza kazi na sifa kemkem kuwa agizo Jana leo kazi imeanza cc lemutuz .Hebu mje mtuambie mlikuwa na haraka gani kuripoti kitu msicho na uhakika nacho

Namtaka huyo niliye mcc tumbo kubwa aje hapa na majibu
 
Ni juzi tu nimeona waziri wa ujenzi, miundombinu na mawasiliano alienda kukagua maendeleo na kifusi washaweka shindilia likiwa kazini na ujenzi unaendelea sa sijui ww umepita barabara hipi kama hujaona kinachoendelea lwakweli ila juzi ITV walirusha kazi ikiendelea kama kawaida.

Ujenzi unakamilika mwezi June
 
Last edited:
Siku moja baada ya Rais kuagiza pesa zilizokuwa zitumike ktk sherehu za uhuru zikafanye kazi ya kupanua Barbara ya morroco Mwenge kesho lilionekana gredal likiwa llimeanza kazi na sifa kemkem kuwa agizo Jana leo kazi imeanza cc lemutuz .Hebu mje mtuambie mlikuwa na haraka gani kuripoti kitu msicho na uhakika nacho

Namtaka huyo niliye mcc tumbo kubwa aje hapa na majibu
Hivi wewe kweli unajua Mwenge ilipo au morroco? Hivi huwa unaangalia habari au kusikiliza? Kwanini unaropoka?
 
Siku moja baada ya Rais kuagiza pesa zilizokuwa zitumike ktk sherehu za uhuru zikafanye kazi ya kupanua Barbara ya morroco Mwenge kesho lilionekana gredal likiwa llimeanza kazi na sifa kemkem kuwa agizo Jana leo kazi imeanza cc lemutuz .Hebu mje mtuambie mlikuwa na haraka gani kuripoti kitu msicho na uhakika nacho

Namtaka huyo niliye mcc tumbo kubwa aje hapa na majibu
Kama una matatizo binafsi na mtu mfungulie thread,kazi inaendelea kwa kasi kwenye ile barabara,toka huko mbagala kimbangulile uje uone watu wapo na mashine zipo site
 
Siku moja baada ya Rais kuagiza pesa zilizokuwa zitumike ktk sherehu za uhuru zikafanye kazi ya kupanua Barbara ya morroco Mwenge kesho lilionekana gredal likiwa llimeanza kazi na sifa kemkem kuwa agizo Jana leo kazi imeanza cc lemutuz .Hebu mje mtuambie mlikuwa na haraka gani kuripoti kitu msicho na uhakika nacho

Namtaka huyo niliye mcc tumbo kubwa aje hapa na majibu
Uko kijiji gani mkuu
 
Naona kuna watu wana kasumba ya kupinga na kubisha kila kitu! Tumsamehe bure, nafikiri hajui alichokiandika.
 
Siku moja baada ya Rais kuagiza pesa zilizokuwa zitumike ktk sherehu za uhuru zikafanye kazi ya kupanua Barbara ya morroco Mwenge kesho lilionekana gredal likiwa llimeanza kazi na sifa kemkem kuwa agizo Jana leo kazi imeanza cc le mutuz .Hebu mje mtuambie mlikuwa na haraka gani kuripoti kitu msicho na uhakika nacho

Namtaka huyo niliye mcc tumbo kubwa aje hapa na majibu
Hivi hilo jamaa kwenye red huwa litoto la mzee Malecela kweli? Mbona wenzake wana akili kubwa kuliko lenyewe?
 
mleta mada ana mazoea ya kusuta kama jike vile, ajapita ashasuta tayari na kumcc le big show mkuu wa mitandao
 
Back
Top Bottom