Mimi nimejaribu kufuatilia tutorials mbali mbali nikaamua kuinstall virtual box ili niinstall Kali Linux kupitia virtual box lakin mineshindwa yaan kila virtual box ninayo install inakuja na bit 32 wakati karnel ya Kali Linux inhabit 64 so nashindwa chakufanya mpaka sasa

hi bro.
You can learn each and everything online.
try Udemy.com nahisi ethical hacking zinaanza $11 kama sijakosea.
Youtube kuna baadhi ya tutorials, like crash courses. ila if i were you ningeanza na udemy, eduonix etc...
๐๐๐Who the hell told u real hacking u can learn from school!!? Acheni kupoteza mda hacking ni kama talent tu! kama huna hio talent, utaishia kuwa hacked tu!!!