Mwishoni mwa mwaka 2012 mwimbaji maarufu wa muziki wa dansi hapa Tz maarufu kama Banza Stone alisikika katika kipindi maarufu kinachorushwa na mtangazaji makini Millard Ayo kupitia clouds fm kwamba anaona kifo kitamchukua si muda mrefu!ingawa alikiri kuwa huenda ni kwa sababu ya ugumu wa maisha!Je yuko wapi na ana hali gani?mwenye taarifa zake tafadhali.
Bado yupo,yeye si Mungu mpaka ajitabirie kifo,nasikia yupo na Mzee wa Farasi wakiwaburudisha wanachi na bendi ya Extra Bongo,ukisikia hiyo bendi inapiga mahala nenda utamuona tu